Saturday, April 7, 2012

GOOD BYE THE GREAT KANUMBA!

...wasanii walipoteza fahamu, akiwemo Jaque Wolper
...msanii Johari akiongea na TV
..nyumbani kwake Sinza Vatican
...mwili wake ulipokuwa Mochwari
Hakuna maneno wal picha zinzweza kuelezea mshituko walioupata watanzani na mashabiki wa msanii maarufu bongo, Steve Charles Kanumba...May God Rest His Soul in Eternal Peace - Amin

1 comment:

Anonymous said...

Kaka yangu mpendwa naommba uondoe hii picha ya motuary jamani. Tafadhali ina makali kwa wampendao. Kuna ethics za uandishi na moja wapo kuonyesha picha kama hii public. Nakuomba uiondoe inauma kaka yangu watu wameikopi na kuweka face book. Familia yake haijafurahia kabisa. Nakuomba ndugu yangu