Tuesday, May 29, 2012

FRANK MTAO ACHAGULIWA KUWA Katibu Mkuu!


Aliyekuwa mtangazaji wa Channel Ten, Frank Mtao, ambaye kwa sasa anaishi nchini Australia, amechaguliwa kuwa katibu mkuu wa Jumuiya ya Watanzania waishio nchini humo (NSW), baada ya kupita kwa kura zote katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita ukumbi wa Granville Youth Centre, Diamond Ave, Granville NSW, mwenyekiti mpya amekuwa Connie ufwe.

No comments: