Saturday, October 12, 2013

BODI YA UTALII TTB YAANDAA WARSHA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

1Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) akijibu swali katika warsha hiyo katikati ni Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB) Bw. Geofrey Meena na kushoto ni Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa (Tourism Confederation of Tanzania) 2Philip Chitaunga Meneja wa Huduma za Utalii (TTB) akiwasilisha mada katika warsha hiyo iliyofanyika leo. 3Geofrey Tengeneza Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB) akitoa utambulisho wa mada zenyewe na malengo ya Warsha hiyo. 6Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika warsha hiyo 7Lilian Timbuka Mwandishi mwandamizi kutoka Gazeti la Uhuru akiuliza swali katika warsha hiyo. 8Baadhi ya maofisa kutoka Bodi ya Utalii (TTB) wakiwa katika warsha hiyo. 9Kutoka kushoto Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena , Sam Kasulwa Ofisa mawasiliano wa Shirikisho la Utalii Tanzania (Tourism Confederation of Tanzania na Geofrey Tengeneza Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii TTBwa nne wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofiza wa Bodi ya Utalii (TTB) mara baada ya kumalizika kwa warsha hiyo.

No comments: