Wednesday, October 2, 2013

CHANGAMKIA FURSA YA ARDHI

Eneo linauzwa, lipo Kimara Mwisho, Dar es salaam, lipo mita 200 kutoka Barabara Kuu (Morogoro Rd), lina ukubwa wa heka 1, kuna msingi wa nyumba kubwa yeny vyumba viwili vya kulala, baa kubwa ya makuti na jukwaa. Bei ni maelewano, kwa maelezo zaidi, piga namba za simu zifuatazo:
0784 111915, 0715 224284,0767 582078

No comments: