Thursday, October 24, 2013

Pata burudani za mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa Band,kutoka Bagamoyo


Hakuna shaka yoyote unapolitaja jina la mji wa kihistoria Bagamoyo (Bwagamoyo) aka
B.O ,sifa za mji huo zimejaa wingi wa utajiri usio mfano na moja ya utajiri uliopo Bagamoyo ni mwanamuziki wa Reggae wa kimataifa mtoto wa kitanzania
Jhiko Manyika a.k.a Jhikoman & Afrikabisa band,
Pamoja utajiri na urithi wa kihistoria uliopo mjini Bagamoyo, mwanamuziki Jhikoman
akupa buradani ya wimbo wa "MALKIA" msikilize hapo juu.
usikose kutembelea http://www.jhikoman.com

No comments: