Tuesday, October 15, 2013

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAONESHO IRINGA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Utamaduni Profesa Mwansoko wakati anawasili katika viwanja vya maonesho ya Wiki ya Vijana uwanja wa Mlandege, Iringa
 Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
 Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
 Banda la bodi ya Filamu
 Rais Kikwete akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na vijana
 Banda la TAMAVITA
 Banda la vijana toka Zanzibar
 Rais Kikwete akiangalia bidhaa za vijana toka Zanzibar
 Vijana wa Zanzibar wakitoa maelezo ya kazi zao
 Vijana wakisalimiana na Rais kwenye banda lao
 Banda la Forum Syd
 Banda la AMREF
 Banda mojawapo la vijana
 Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
 Rais akisalimiana na vijana wajasiriamali wa Iringa
 Banda la Kilolo
 Kijana Kenneth Mwangoka kutoka Nyololo akiwa na gari lake la miti
 Rais Kikwete akisalimiana na kijana Kenneth Mwangoka
 Rais Kikwete akiangalia gari la miti
 Chuo Kikuu cha Mkwawa
 Vijana katika kuhamasisha jamii dhidi ya VVU na Ukimwi
 Vijana wa Chuo Kikuu cha Ruaha wanafurahi kutembelewa na Rais Kikwete bandani kwao
 Chuo Kikuu cha Iringa
 Maelezo toka kwa vijana wa Chuo Kikuu cha Iringa
 Vijana wanaotengeneza dawa za asili
 Wadau wa NMB tawi la Mkwawa wakisubiri mgeni awatembelee
 Vijana wakitoa maelezo
 Vijana wa NMB tawi la Mkwawa wakimsalimia Rais Kikwete
 Vijana wa Exim Bank wakifurahia ugeni huo
 Banda la TRA
 Banda la vijana wa dini mbalimbali
 Vijana wakifurahia ujio wa Rais Kikwete
 Wajasiriamali vijana wa Iringa wakisalimiana na Rais Kikwete
 Rais akisalimiana na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa
 Spika Anne Makinda akisalimiana na wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Iringa
 Vijana wakimpokea Rais
 Banda la Femina
 Vijana wajasiriamali wakimsalimia mgeni
 Banda la JAFAKU group
 Vijana wakionesha kazi zao
 Banda la VETA
 Karibu mgeni
 Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa za wajasiriamali
 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi  Mkuu wa wa LAPF, Bw. Eliud Sanga
 Rais Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi  Mkuu wa wa LAPF, Bw. Eliud Sanga

No comments: