Monday, September 1, 2014

HII KALI KULIKO: MAKOMANDOO WA NEPAL WAONYESHA NYUMBA YA MNYARWANDA WALIYOKUWA WAKILINDA!

Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal,
Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na mnyarwanda ambao nyumba yao ilikuwa ikilindwa na Komandoo kutoka Nepal
Baadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo.

No comments: