Sunday, April 5, 2015

MWIMBAJI WA INJILI REBBECA MALOPE ATUA DAR KWA SHOO YA PASAKA

Mwakilishi wa Msama Promotion  Grace Khuni akimkabidhi Uwa mara baada ya kuwasili Uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika  kwa jina la Rebbeca Malope  akipunga  mkono kwa  mashabiki   pichani hawapo akiwa na mwenyeji wake Kulia amabaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) jioni ya jana tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka linalofanyika leo  kwenye uwanja wa  Taifa  Dar es salaam, ambapo Solly Mahlangu mwanamuziki nguli mwingine wa muziki wa injili kutoka nchini humo atawasili leo na kujiunga moja kwa moja na tamasha hilo kushoto ni Mume wa Rebbeca .
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama   akizungumza na waandishi wa habari jana jioni mara baada ya kumpokea Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa jina la Rebbeca Malope.
PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA.

No comments: