Saturday, September 3, 2016

BENKI YA DIAMOND TRUST YASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU CHAMANZI

Meneja wa kitengo cha Masoko wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Sylvester Bahati (kulia), akikabidhi magodoro 50 kwa Mkuu wa kituo cha watoto wenye mahitaji aalumu kilichopo Chamazi, Bi. Winfrida Rubanza.  Pichani chini ni Bi. Winfrida Rubanza akihojiwa na mwandishi wa habari. Tukio hili liliratibiwa na Benki ya Diamond Trust ikishirikiana na Bi Lorna Dadi ambaye ni mwandishi wa kitabu cha Vipande Vya Maisha.





NA IMMA MATUKIO BLOG On Tuesday, August 30, 2016 4:00 PM, khalfan said wrote: POKEA CODE
Bw. Simon Kivamwo
Waandishi wa habariwakitoa damu ili kuwezeshamatibabu ya Mwandishi wa habari mkongwe hapa nchini Bw. Simon Kivamwo ambaye anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Ocean Raod iluyoko jijini Dar es Salaam leo Agosti 30, 2016. Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari anayeratibu zoezi hilo Bw.Thompson, Kivamwo ambaye anaugua kwa muda mrefu sasa, amezidiwa na maradhi leo hii na kukimbizwa kwenye hospitali hiyo ambapo madaktari walihitaji kumuongezea damu. Benjamin Thomspon ametoa  wito kwa wanahabari na jamii kwa ujumla kujitokeza kumchangia damu mwanidhi mwenzetu ili kuokoa maisha yake. Sehemu ya kutolea damu ni Hospitali ya Mnazi Mmoja, Kariakoo jijini Dar es Salaam

No comments: