Thursday, October 6, 2016

Kampuni ya Tigo yakabidhi madawati manispaa ya Mtwara leo


Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu (kulia)akipokea moja kati ya madawati 135 yenye thamani ya shilingi milioni 22/- kwa mkoa wa Mtwara toka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles kwenye makabidhiano yaliyofanyika shule ya msingi Maendeleo, manispaa ya Mtwara leo.


Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu (kulia)akiwa ameketi na mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles mara baada ya makabidhiano ya madawati 135 kwa manispaa ya mkoa wa Mtwara . Hafla iliyofanyika  shule ya msingi Maendeleo leo


Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu (kulia) na mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles, wanafunzi wa shule ya msingi maendeleo, Hajira Shaibu (wa pili kulia), Ezra  Joseph na mwalimu wao Fabiola Haule(kushoto) wakiwa wameketi mara baada makabidhiano ya madawati 135 kwa manispaa ya Mtwara leoMkuu wa wilaya ya Mtwara Dkt Khatibu Kazungu na mkurugenzi wa Tigo kanda ya pwani Goodluck Charles wakiwa wamepozi na viongozi mbalimbali wa manispaa ya wilaya ya Mtwara Mikindani kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati leo.Mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Maendeleo manispaa ya Mtwara, Fabiola Haule akitoa neno la shukrani kwa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo leo, mara baada ya kupokea madawati.


Wanafunzi wakifurahia 


1 comment:

poker said...

PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___http://www.delimapoker.com/?ref=19860605