Friday, January 6, 2017

MBUNGE MUSSA WA TANGA AKABIDHI RANGI KWA AJILI YA UJENZI WA MADRASSA YA IKHILASWI

 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi rangi Ustadhi wa Madrasat Ikhilaswi ,Ibrahim Hassani Mtaa wa Mwarongo Kata ya Marungu kwa ajili ujenzi wa msikiti huo
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akisoma risala ya
Madrasat Ikhilaswi mara baada ya kukabidhiwa baada ya kwenda kuwatembelea na kukabidhi msaada wa makopo ya rangi kwa ajili ya ujenzi unaoendelea
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akuzungumza na wanafunzi wa Madrasat Ikhilaswi wakati alipotembelea kuona changamoto wanazokabiliana nazo ikiwa ni ziara yake lakini pia aliwakabidhi makopo ya rangi
Hili ni Jengo la Madrasat Ikhilaswi lililopo mtaa wa Mwarongo Kata ya Marungu Jijini Tanga muonekano wake
habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments: