Sunday, December 16, 2007

Africa was not consulted!

African Leaders: Sleepin' or listenin'?

2 comments:

Anonymous said...

Hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wetu ndugu yangu! Maana wanalala kuanzia kwenye mabunge ya nhi zao mpaka kwenye vikao vya kimataifa kama hivi. Kinachotea ni kwamba akiwa amesinzia halafu akakurupuka anakuta karatasi ambayo anatakiwa asign ipo mbele yake, matokeo anasaign mkataba ambao haujui "terms" zake vizuri. "Gharama za upuuzi walipaji sote".

TWAHILI MITTEMA SAIDI said...

haa walikuwa wnalal TUUUU,,,MWEEEEE