Sunday, December 16, 2007

HONGERA!


Waziri Mkuu,Edwars Lowassa na mkewe Regina wakiwa na binti yao, Adda Lowassa baada ya binti huyo kutunukiwa Digrii ya Udaktari wa Binadamu (Doctor of Medicine ) katika mahafali ya kwanza ya Chuo Kikuu cha Sayansi za Afya Muhimbili yaliyofanyiak kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es salaam jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: