Monday, July 21, 2008

PUBLIC TOILET IN SWITZERLAND

mdau kanitumia hii anasema kuwa vyoo vya umma vya nchini Uswiss ni vya ajabu, kwa nje vinaonekana kama picha ya juu.......







...lakini ukiingia ndani kuna kioo aina ya 'one-way glass' ambacho kinakufanya uone kama uko kwenye kiboksi cha kioo kinachoonesha unaonekana na kila mtu.....hii ni kweli? mtatuambia mliyoko huko.....!!!!

No comments: