Saturday, September 12, 2009

NI NANI HUYU?




Huyu ni mwanadada maarufu Bongo na ni miongoni mwa wanawake wanaotawala sana Media. Kwa sasa yuko nchini Marekani kwa 'vekesheni' maalum, can somebody tell me WHO IS THIS GIRL?

21 comments:

Anonymous said...

huyu ni Shyrose Banji ndugu yangu kwa mimi nilivyovuta taswira ya picha hii kwa haraka

jacqueline said...

huyu ni yule Shyrose Banji kwa mimi nilivyovuta taswira ya picha hii kwa haraka

ginfizz said...

huyu ni mtoto wa kisuma pale mwanza anaitwa shyrose feance wa jafar

Anonymous said...

Ni Shyrose Banji. Ni mjumbe wa NEC pia.

Anonymous said...

pole na kazi,naomba mnitafutie msanii sinta

Anonymous said...

huyu ni shyrose bhanji mhh kapendeza!!! Ila huyo jamaa kachemka shyrose hana usukuma bwana asili yake ni mara. wa2 wengine bwana kutafuta sifa tu kama hujui vitu kwanini unakurupuka?

Anonymous said...

shyrose bange

Anonymous said...

mbona mimi nasikia ni baniani huyu?

Anonymous said...

mbona mimi nasikia ni baniani huyu?

Anonymous said...

wrong Qn,she is not a girl,she is old enough. Shyrose B

Anonymous said...

Huyu ni Shy-Rose Bhanji

Anonymous said...

huyu mrembo ni shyrose bhanji...mhh siyo siri kapendeza ...mdau LA.

Anonymous said...

THE GAL IS SHY-ROSE BHANJI. SHE IS FIIIIIIIIINE

Anonymous said...

LAZIMA ATAKUWA SHYROSE HUYU...LIKIZO KWELI NZURI ANAONEKANA KATULIA..HONGERA MREMBO

stella said...

this gal must be shyrose bhanji namuonaga sana kwenye media. S

Anonymous said...

swali limeulizwa huyu ni nani? mwingine anajibu mara oh ni msukuma ni fiacee wa jafarai inahusu? kama ungekuwa mtihani kweli rafiki ungefeli...unapoulizwa swali jaribu kujibu unachoulizwa ndugu yangu. Nasema hivi kwa vile watu wengi nimeona wanafuatilia sana maisha yake ya ndani haihusu

khalid said...

huyu ni shyrose wa bhanji, mtoto matata sana huyu. very strong lady, kapendeza juu mpaka chini c mchezo babake!!!

Anonymous said...

Siyo mjumbe wa NEC ni mjumbe wa baraza kuu la UVCCM na uwt.

Anonymous said...

Shy-Rose huyu sizani kama kuna mtu hamfahamu kazi yake nzuri anajitahidi sana

Anonymous said...

Asili yake kamili ni point 5. 50% indian na 50 ingine mbongo wa mara ndio maana katoka mzuri kiivyo

Anonymous said...

Likizo njema Shy-Rose asante kwa kutuhabarisha. Nyote yako inang`aa ndio maana unapendwa na kuchukiwa @ the same tyme. Kiukweli wengi wanakukubali ila hawataki kusema ukweli. Orange country, CA