Thursday, March 11, 2010

AISHA AWA KIVUTIO TWANGA!

Safu ya wanenguaji wa African Stars wakiwajibika ndani ya Club Bilicanas jana usiku, lakini wote hawakufua dafu kwa Aisha Madinda ambaye alionekana kuwa kivutio baada ya kupanda kwa mara ywa kwanza jana tangu akumbwe na seke la picha za ngono.

Aisha Madinda jukwaani
..mgongo mgongo aisha
..hapo je

..niko fresh tuluiza na fugason
..kulikuwa na kijishughuli pia cha kuwakabidhi zawadi na vyeti wafanyakazi bora wa aset. hapa nikikagua cheti huku richard akinisaidia kushika mike



ankal michuzi nae alikuwepo kusoma cheti chake huku akiwa close na iron lady, mamaa asha barakausiku wa mwafrika bils huwa ni kiota cha wasanii wa filamu bongo..kanumba na irene nao walikuwepo close

asha baraka akiwa na vijana wake kanumba (kushoto) na ray ndani ya bils

No comments: