Tuesday, March 9, 2010

TANZANIA MUSIC AWARDS MAY 15

The Logo
Lady Jaydee
Kalala Jr na Luiza
waratibu; Fina Mango wa One Plus Comm na Kavishe wa TBL wakifuatilia
wasanii C-Pwaa (kushoto) na Inspector haroun

Kamati ya maandalizi ya Tanzani Music Awards 2010, leo pamoja na mambo mengine, imetaja May 15 ndio kuwa siku ya kutoa Tunzo hizo kwa wasanii wa Tanzania. Hayo yalijulikana leo wakati wa semina kujadili categories zitakazoshindaniwa mwaka huu. wakati wa mkutano Paradise City Hotel jijini dar. Picha zaidi nenda: www.globalpublisherstz.com

No comments: