Wednesday, May 26, 2010

MJUE Renisson Okemwa


Rennison Okenwa ndio kichwa kilicho Direct movie £ovely Gamble. Rennison kwa umaaarufu 'Renny' ni ndugu yetu kutoka Kenya. Huyu jamaa ndio aliyekuja na aidia ya kuexperiment namna ya kutumia picha na mziki kueleze haadithi. Renny ni msomi wa uzalishaji wa vipindi vya television aliyehitimu katika chuo kikuu cha Thames Valley Uni. Renny amesha tengeneza documentary programmes mbili kuhusu vifaa vya mahosipitali na wa matatizo ya magonjwa ya akili. Kwa sasa ana shoot documentary kuhusu wazazi watoto 'Young Mums'


Mahojiano haya yamefanywa na Watayarishaji wa kipindi cha ALL ABOUT WOMEN ambacho presenter wake naye ni Dada wa kibongo aitwaye Tina George, Kipindi hiko hurushwa kwenye vituo vya television vya AILTV na Ben TV huku UK.


Onyesho maalum la Filamu ya £ovely Gambl kuchangia watoto yatima wanaoishi na virusi vya UKIMWI Litafanyika


JUMAMOSI TAREHE 29/05/2010.

SAA 12 Jioni MPAKA SAA 5 NA NUSU Usiku.

WYCLIFFE VENUE,

233 KINGS ROAD,

READING, RG1 4LS


WATANZANIA WOTE WA UK MNAKARIBISHWA



BARAKA BARAKA
EXECUTIVE PRODUCER
BUZZIE PRODUCTION UK.

No comments: