TAARIFA
YA WATEJA WETU WA MKOA WA TEMEKE
Tunawatangazia
Wateja wetu kuwa tumelazimika kuzima
njia ya umeme ya Kipawa-Chang'ombe saa 1:30 Asubuhi baada ya moto
kutokea kwenye "arrestor" ya Kituo cha kupoza umeme cha Chan'gombe.
Tutaendelea
kutoa taarifa zaidi.
Kwa
mawasiliano toa taarifa kupitia,
Kituo
cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985
100
Tovuti: www.tanesco.co.tz,
mitandao ya kijamii:
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
IMETOLEWA
NA: OFISI YA UHUSIANO
TANESCO
MAKAO MAKUU
No comments:
Post a Comment