Monday, September 17, 2007

POLE MUDHIHIR!

Mdau wa gazeti la Ijumaa akimpa pole mh. mudhihir hospitalini!

1 comment:

Anonymous said...

tunampa pole mheshiwa na mwenyezi mungu ampe afua mapema.... ameen. lakini ni ukumbusho watu wengi wanapoteza maisha kwa kukosa huduma afya na emergency ambulance service, kama asingekuwa mh, basi hiyo ndege ya serikali angeiisikia hewani, unakumbuka ajali ya basi mbeya, watu walikufa kama kuku hakuna hata helicopta iliyenda kusaidia kuwapeleka hospitali kubwa