Wednesday, September 26, 2007

WAZIRI KAPUYA APATA AJALI MBAYA!

Mh. Juma Kapuya , Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, akiwasili Uwanja wa Ndege jioni hii akitokea Tabora ambako alipata ajali ya gari jana jioni na kuumia vibaya na watu wengine watatu waliokuwemo kwenye gari la jali, kufariki dunia. Mh. amekimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi na hali yake inaelezwa siyo nzuri! HABARI ZAIDI FUATILIA HAPA
Baraka Kapuya...mtoto wa Mh. Juma Kapuya akilia kwa uchunga uwanja wa ndege alikokwenda kumpokea baba yake
Mwenyekiti wa CCM aliyepata ajali mbaya na Mh. Kapuya wakati akiwasili uwanja wa ndege jioni hii akitokea Mkoa wa Tabora..!

No comments: