Thursday, September 20, 2007

WE ARE SORRY!

Samahani sana wasomaji wa website ya Global Publishers....(globalpublisherstz.com) kuna matatizo ya kiufundi yamekuwa yakitokea kwenye web hiyo kutokana na kutembelewa na wasomaji wengi hivyo Band With yake kuwa ndogo.... tunalishughulikia tatizo hilo kwa ku allocate Bandwith kubwa na baada ya muda tatizo litakuwa limepatiwa ufumbuzi wa kudumu.

Ahsanteni kwa uvumilivu wenu
Mephics Ltd
Website Host

No comments: