Saturday, November 17, 2007

HII HUTOKEA TU!

Haikupangwa jua lisimame hapo na lionekane kama mzigo ukinyanyuliwa..!
haikupangwa hii picha iwe hivi

Kama anaangalia kwenye darubini, lakini kumbe anahutubia...!


Mpiga picha alikusudia kumpiga picha sungura bila kujua kilicho nyuma yake nacho kinafanana na Sungura! Wungu wanaita COINCIDENCE!

No comments: