Saturday, November 24, 2007

RCHARD WELCOME PARTY: MASTAA KIBAO!

Richard akimpa shavu la nguvu Madame Rita!
Nargis Mohamed, aliyewahi kuwa Miss Tanzania no. 3, alikuwepo!
'Wazee wa MultiChoice Tanzania, Mr. Peter (kushoto), Lucy na Shelukindo.
Richard uso kwa uso na mkali wa rap Bongo, Fid Q!
Eddie (shoto) na Louis, brothers wa Richard
Richard akiwa na shabiki wake nambari one aitwae Bupe, yuko masomani Sauzi, kaja Dar kwa ajili ya kumpa 'hi' Rich!
Ni kicheko tu!
Kinachovutia picha hii ni macho ya huyo aliye katikati, mwanamuziki Diouf!
Zamunda, Mtanzania aishiye Marekani! (PICHA ZAIDI NENDA:GLOBALPUBLISHERS.COM)

No comments: