Monday, August 4, 2008

MISS GLOBAL!

Nelly Kamwelu, Miss Global Publishers 2008 afarijika na taji...
Kalikumtima(shoto) amenieleza kuwa amefurahi sana kwa mrembo wake kupata taji la Miss global..anaamini huyo ndiye 'the queen of our hearts'. Kwa msiojua, Kalikumtima ndiye mwandaaji wa Miss Ilala alikotoka Nelly.
Benny Kisaka (kulia) mwandaaji wa Miss Temeke, anamtambulisha mrembo Tusekile kwa Kalikumtima (shoto) na kutueleza kuwa ni 'zao' la Juma Pinto aliyeko UK anakotokea Tusekile.

No comments: