Monday, August 4, 2008

MAMBO YA USWAZI!

Wasanii wa kikundi cha sanaa za maonyesho cha Umoja kutoka Afrika Kusini, wakitumbuiza wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments: