Saturday, October 25, 2008

ULIMWENGU WA KANUMBA

Lile tatizo la kiufundi lililoweka kiwingu kwenye mtandao wa muigizaji mahiri nchini Tanzania, Steven kanumba, sasa limeondoka na mtandao huo uko makini. Mashabiki na wapenzi wanakaribishwa kwenye ulimwengu wa Kanumba, ambako anaelezea alikotoka, alipo na nini amefanya kama msanii wa kibongo. Pengine ungetaka kutangaza biashara yako kupitia mtandao wake, basi hebu cheki hapa upate 'data' na 'contact' zake zote: www.kanumba.com.

3 comments:

Anonymous said...

shida ya kanumba ni hii ni muigizaji mwenye kipaji katikati ya madirector wababaishaji

Anonymous said...

jamani nimeingia kwenye hiyo site ya Kanumba, nakuomba utafute your publicit akubrush up, hayo maelezo uliyotoa ni marefu na yanachosha sana !!! especially kwenye biography, fupisha na weka english simple and clear, its just too long , and it reminds me of secondary school days, we would write autos like those i saw there !!!

Anonymous said...

Well the boy is trying jamani, lakini English inafanana na ilee ya this food is too much to pilipili, na sijui kwa nini hakumpatia mtu amcorrect kabla hajaiput kwa public, its sad but ndio hivyo tena tutafanyaje, pia naomba aendelee kutembelea SH Amoni huku ughaibuni wanashangaa sana wanapoona hivyo vidudedude usoni jamani.