Monday, November 10, 2008

Kijiji Uturuki chachinja kondoo 44 kumtolea kafara Obama

Baada ya Barack Obama kuchaguliwa kuwa rais wa 44 wa Marekani
wanakijiji wa Cavustepe katika Mkoa wa Van nchini Uturuki wameamua
kumtolea kafara mheshimiwa Obama kwa kumchinjia kondoo 44.
kwa habari kamili na picha zaidi nenda NIFAHAMISHE.COM

No comments: