Mtanzania aliyefia nchini Japan, Marehemu Amina Kisigo, akiwa katika moja ya picha alizopiga enzi za uhai wake mwaka 1992 nchini Japan. Marehemu alifariki dunia wiki iliyopita nchini humo ambako alikuwa akiishi na familia yake. Mipango ya mazishi inafanywa nchini humo ambapo kaka na dada wa marehemu wameondoka jana kuelekea Japan kusimamia mazishi hayo.
Familia ya Mzee Kisigo wa Tabora inatoa Shukrani kwa Jumuia ya Watanzania waishio Japan kwa ushirikiano waliouonesha katika msiba huu wa mpendwa dada yetu Amina - Mungu atawalipa kwa umoja wenu na tumuombe Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu peponi - Amin!.

No comments:
Post a Comment