Sunday, November 30, 2008

WIKI YA MRAMBA ILIVYOISHA!

...akisindikizwa kizimbani mahakama kuu......
....dah paparazi kibao.....
...eh wakili sema tutapata dhamana leo?...
...nyomi kibao, wengine wametoroka maofisini.....
...aah wacha twenzetu home...jamaa wanalo..

Wiki hii ilikuwa ni ya Basil Mramb na Daniel Yona kutamba mahakamani kwa ubadhirifu..na wakati huo huo Mramba kutawala zaidi kwenye media baada ya kuwepo kwa harusi ya binti yake aliyeolewa Jumamosi hii katika kanisa la Mt. Petro (St. Peter) Oysterbay jijini Dar es salaam...alikuwa ahudhurie harusi hiyo lakini ikashindikana baada ya dhamana yake kukwama hivyo kulazimika kuendelea kunyea debe Keko kwa wikiendi nzima!!!

No comments: