Anusurika kufa baada ya mshale kuzama kwenye kichwa!!
Mwanafunzi wa umri wa miaka 11 nchini China (pichani juu), amenusurika kufa baada ya mshale uliorushwa na rafiki yake kuzama kichwani mwake kupitia kwenye jicho lake, aliwahishwa hospitali huku mshale huo ukiwa bado umezama kwenye kichwa chake... kwa habari zaidi: NIFAHAMISHE.COM
No comments:
Post a Comment