Wednesday, December 10, 2008

STAILI HII INAKUFAA JIDE!




Wadau na mashabiki wa Lady Jaydee wamevutiwa na gauni alilovaa siku ya sherehe za THT kutimiza miaka mitatu, Rais wa nchi akiwa mgeni rasmi. Wamesema gauni alilovaa lilimpendeza kuliko siku yoyote uliyowahi kuvaa...wameshauri atumie staili hiyo ya uvaaji hata katika shoo zake nyingine na atapendeza zaidi kuliko anapovaa 'kimitego'...ni ujumbe wako Jide!

2 comments:

Anonymous said...

Sure,Pamba nyingine huwa anajinanga na kuzidi kuonekana mbaya,ona hapo kapendeza kinoma kama kabint cha Under age.
Unajua wasanii wa wezetu wanakuwa na washauri au wataalam wa mavazi sio bongo unajivalia tu vyovyote bila ya kuangalia tittle yako.

Anonymous said...

she is beautiful, mnamsakama sana huyu binti na sijui kwanini wakati nyie hamuwezi hata kubeba bendera za vijijini kwenu mkawakilisha mababu zenu, she is our icon and she rocks