Kupitia pande hizi, ‘Ebwana Dah!’ leo tunamchungulia mwanamitindo maarufu kutoka Los Angeles, California, Marekani ambaye hivi sasa amegeukia ‘game’ ya utangazaji, Tyra Lynne Banks aliyepata kujiachia na mastaa wa kiume zaidi ya 15.
Kwa mujibu wa mtandao unaodili na uhusiano wa kimapenzi wa mastaa hao wa kiwanja, mrembo huyo alianza kwa kuangusha gari na kijana Alexander Jenkins akifuatiwa na Rupert Everett, Craig Taylor, Will Smith, John Singleton, Seal, Tiger Woods na Michael Johnson.
Wengine ni Rick Fox, Teresa Weatherspoon, Chris Webber, Hype Williams, Giancarlo Marcaccini, Tyler Perry, Paul Calderon na John Utendahl ambaye alianza naye uhusiano mwaka jana lakini haijajulikana kama bado yuko naye hadi hii leo.
Tyra ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 35 alizaliwa Desemba 4, 1973, alipata elimu yake ya sekondari kunako shule ya Immaculate Heart High School, iliyopo nyumbani kwao Los Angeles, kisha Chuo Kikuu cha Claremont McKenna.
credits: mc george

No comments:
Post a Comment