Tuesday, June 23, 2009

Uwanja wa Ndege Ambao Magari Husimama Kupisha Ndege Zitue au Kupaa


Ushawahi kuona ndege ikisimama kwenye mataa ya barabarani ili kupisha magari yapite na yenyewe ipite wakati inapopaa au kutua kwenye uwanja wa ndege? Uwanja wa ndege huo haupatikani kokote duniani zaidi ya nchi ndogo ya Gibraltar ambayo ipo chini ya utawala wa Uingereza. Kwa habari kamili kuhusiana na uwanja huo wa ndege link ni hii:

2 comments:

mumyhery said...

hata tz tulikuwa nao dodoma sijui kama bado upo mpaka sasa ulikuwepo arusha road, ndege ikiwa inatua au kupa inabidi watu, magari, wachunga mifugo, baisekeli nk kusubiri kwanza
wakati makao makuu yakihamia dodoma

Anonymous said...

Habari kaka na pole sana na kazi ngumu ya kutuhabarisha na kutuelimisha.Mimi ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa mada zako za kila j4 mambo ya afya hakuna mtandao unanielimisha kiafya kama huu hongera sana.Shida ni kwamba siku hizi umekuwa mvivu hutoi siku muafaka kulikoni?