Fat Joe; Hawa ndiyo warembo aliokwea nao on bed
Mtu bonge on Hip Hop industry, Fat Joe a.k.a The Man from New York wiki hii hana ujanja. Anawekwa kati na kumulikwa ni warembo gani aliofanya nao sanaa ya kikubwa. Ebwana Dah!
Kwa mujibu wa mtandao wa kijanja wa huko mbele pande za Mtoni, Fat Joe amewahi kukwea on bed na mastaa warembo wawili tu. This is very surprise!
Mtandao huo unamuanika mwanadada, Lorena Joe kama nambari moja lakini haielezwi ni lini alianza kucheza naye kidali po.
Inaelezwa kuwa, mwaka 2004, mtu mzima wa New York alianza kujiachia na Emily B, hivyo kutimiza idadi ya wawili tu wanaojulikana kuwahi kuchangamsha damu kiutu uzima na Fat Joe.
Jina lake kamili ni Joseph Antonio Cartagena, umri wake ni miaka 39, alizaliwa Agosti 19, 1970, Bronx, New York, Marekani. Ana urefu wa futi 6.1

**********************
Temba na mtutu begani
Akiwa anakumbushia mishemishe za jeshi alizowahi kupitia, Amani James Temba ‘Mheshimiwa’ alipiga picha kadhaa na bundiki katika pozi tofauti alipokwenda Liberia hivi karibuni kwenye tamasha la First Anniversary Indepence for Liberia.
“Hiyo silaha niliwaomba askari wa Umoja wa Afrika wa Nigeria, niliwaambia nilikuwa askari na ninaweza kuifungua bunduki yote na kuifunga wakabisha. Waliponipa nikaifungua na kuifunga kisha nikawaomba nipige nayo picha.”
Hivi sasa, Temba yupo katika ziara inayoanzia Tabora, Mwanza mpaka Musoma na kundi lake la TMK Wanaume Family na Tip Top Connection.

**************************
Pascal Cassian: Faida na kasoro zake
Fainali za Bongo Star Search (BSS) mwaka huu, zilifikia ukingoni katika mkesha wa kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Siyo stori kwamba Pascal Cassian wa Mwanza ndiye alishinda, wa pili akiwa Peter Msechu anayetokea pande za Kigoma, Kelvin Mbati wa DSM akibaki namba tatu, Jackson George mwenye maskani yake Tanga akidaka nafasi nne, wakati the first lady wa BSS 2009, Beatrice William akiambulia namba tano.
Shindano hilo lilimulikwa pande zote na gazeti pendwa ndugu na hili, Ijumaa toleo lake lililopita lakini hapa tunamchambua Pascal katika faida na hasara zake, lengo ikiwa ni kumuwezesha kumudu soko la muziki kama anavyotarajiwa.
FAIDA ZAKE
1: NIDHAMU
‘Bwa mdogo’ hana matata, tangu BSS inaanza mwaka huu, hakuwahi kuingia kwenye kashfa ya mgogoro wa kinidhamu na majaji. Hata alipokosolewa na kuambiwa habebeki kwenye soko la muziki, alikuwa mvumilivu. Hii itamsaidia mbele ya safari kimuziki.
2: SAUTI
Ana sauti nzuri yenye nguvu. Anaweza kuimba aina yoyote ya muziki. Yupo juu.
3: BIDII
Iko wazi kuwa jamaa anajituma, tangu enzi za kuimba nyimbo za kanisani mpaka kubadilika na kuwa fundi wa nyimbo za aina mbalimbali kusema ule ukweli amefanyakazi ya ziada. Kikubwa kilichomsaidia ni nidhamu ya mazoezi, kwani inaelezwa kuwa wakati akiwa kambini na wenzake, kuna kipindi alisahau chakula na kuweka mkazo kwenye mazoezi na mafundisho ya mwalimu.
4: MWEPESI
Akiandaliwa vizuri atakuwa mkali jukwaani kwa sababu hana uzito unaoboa.
KASORO ZAKE NI HIZI
1: LAFUDHI
Hana lafudhi nzuri, hivyo ni vema akaanza kuchukua mafunzo ya jinsi ya kuutumia ulimi wake. Tatizo ni hili, sehemu ya “R” anaweka “L”, hapa hawezi kuwa mwanamuziki mzuri kwa sababu atakosolewa kila kitu.
2: ANASHINDWA KUITAWALA PUMZI
Hili hata siku ya fainali lilionekana, Pascal hawezi kuitawala pumzi yake kwa sababu alipokuwa jukwaani hasa wakati anaimba wimbo wa Baby Girl wa Mad Ice, pumzi ilikuwa inakata. Hii kwa wataalamu wa muziki ni kasoro kubwa.
3: HAJUI KUPIGA SHOO
Hili ni tatizo la wanamuziki wengi, Pascal akiwa jukwaani anaruka ruka sana badala ya kufanya shoo ya mpangilio. Mtindo wa kuruka ruka ni zilipendwa kwa sababu hausisimui ingawa unatumia nguvu kubwa. Anahitaji wataalamu!
4: ANALAZIMISHA MUONEKANO
Ni tabia ya kizamani kutaka uonekane tofauti na ulivyo, yap, ni wengi tunawajua Bongo Flava wanaopenda kuonekana ni tofauti kuanzia kuremba sauti, kufanya vitu artificial. Muhimu ni msanii kubaki na uhalisia wake, kuiga vitu matokeo yake ni kushindwa kazi ndani ya muda mfupi, pia kuonekana limbukeni. Tatizo hilo lipo pia kwa Pascal kupitia mtindo wake kuongea. Anahitaji kubadilika.
Abby Cool & MC George over the weekend inampongeza Pascal kwa ushindi na kumtakia safari njema ya mafanikio zaidi kimuziki.

**************
Hamidu wima na Mr Blu
Baada ya kuhaso na life kwa muda mrefu, akisaka noti mpaka himaya ya Jacob Zuma, bwana mdogo aliyesumbua kunako game ya Bongo Flava enzi hizo ukiitwa muziki wa kitajiri, singo moja balloon, Hamidu Salim Chabuso ‘Nyandu Tozz’ amerudi tena katika game.
Ukimsikia hivi sasa, Nyandu ambaye zamani alijulikana na kufunika kwa jina la Dogo Hamidu, anatamba on air na track inayokwenda kwa jina la 26 (tamka Twenty Six) akiwa amemshirkisha Heri Samir ‘Mr Blu’ pamoja na ‘G-Nako’ wa Nako 2 Nako.
Mbali na kugonga pamoja track hiyo, Nyandu alisema na Abby Cool & MC George over the weekend kuwa, hivi sasa yeye na Blu wapo kundi moja, ‘B.O.B’ na kwamba wanawakilisha Bongo Flava katika levo ya kijanja.
**********************
CodeRed Dj’s: Wapelekesha Afrika MasharikiCodeRed (pichani juu) ni kundi la ma- DJ linalochukua nafasi ya juu katika game hiyo Afrika Mashariki. Siku za nyuma safu hii iliwahi kusikia na kuyashuhudia makundi kama Nyuki Deejays, Kwafujo ya Bongo na Ogopa Deejays wa Kenya, lakini leo hii yameonekana kuzimwa na mafanikio ya kundi hili lenye maskani yake pande za Nairobi, Kenya.
CodeRED, ambalo hivi karibuni lilionesha vitu adimu ndani ya Club Billicanas, Dar es Salaam wakati wa MTV Road To MAMA Party, linaundwa na Ma-DJ watano ambao ni DJ Stylez (Allan Muigai), Mr. Thrill (Gerald Sabai), W-DJ (Michael Waithaka), DJ Final Cut (Kelvin Kinani) na DJ Madraxx (George K. Muigai).
DJ Stylez amewahi kutwaa tuzo ya Best DJ in Africa ya Channel O mwaka 2006 na katika kudhihirisha kuwa wao bado ni wakali kwa sasa Afrika Mashariki, shughuli zote za kutoa burudani kwenye Party za MTV zilizomalizika hivi karibuni jijini Nairobi, walipewa wao na kufunika ile mbaya. Pia ‘mikono’ yao imeshawahi kupiga kazi kadhaa Bongo kupitia matamasha kama Fiesta, Lykizo Tyme na mtu mzima wakati Jay-Z alipogonga ishu Diamond Jubelee, Dar es salaam, Tanzania.
***********************************
BBA:Eliza amtolea uvivu Nkenna!
Cutie baby ambaye ni product ya Bongo ndani ya mjengo wa Big Brother Revolution, Queen Elizabeth Gupta katika moja ya matukio ya wiki iliyopita, alionesha hataki mchezo na kumtolea uvivu Nkenna kwa kumwambia kuwa, hana tabia njema.
Queen Eliza alimpasha Nkenna ambaye aliingilia mazungumzo yake na Kevin kisha alimueleza kuwa, haipendi tabia yake.
Baada ya kuambiwa hivyo, Nkenna alipandisha jazba na kumsemea mbovu Eliza ambaye baada ya kuona mambo yamekuwa makubwa, aliondoka na kuelekea chumbani huku akimwacha mwenzake akiendelea kubwabwaja.
...Keri Hilson achangamsha mjengo wa BBA
Staa wa R&B, Keri Hilson wiki iliyopita aliwachangamsha washiriki kwenye mjengo wa Big Brother Revolution, alipowatembelea na kushirikiana nao kwa kila kitu kama vile naye ni mshindani.
Keri, alijumuika na washiriki kisha alijichanganya nao kwenye chakula pamoja na kazi nyingine zote.
Baadhi ya washiriki walionekana kuvutiwa na kazi zake pamoja na maisha yake kwa jumla, hasa alipowaeleza historia yake, alipoanza muziki hadi kufikia kujulikana kimataifa.
Aidha, Keri alisema kuwa, anavutiwa na Bara la Africa na alifarijika kujumuika na washiriki wa BBA kisha kufanya nao shughuli mbalimbali.
****************************
compiled by mc george
3 comments:
hello
Pascal aliishi kama alivyokuwa
hakuwa anajionyesha
pia kijana alitawala jukwaa vizuri na alikuwa na maisha halisi ya kitanzania
safari yake ilikuwa ndefu sana na kijana alikuwa halisia hakuishi artificial life hata kidogo
hongera zake cassian na alistahili. strategy yake ilikuwa balaa. sijui ilikuwa ni strategy au ndio bahati. grafu ya cassian ilikuwa ikipanda taratibu lakini very steadily. wakati mshiriki kama peter msechu alishajulikana kuwa mkali grafu yake ikagota ingawaje every time alikuwa anakamua ipasavyo. ni kama vile washabiki walikuwa wanajua leo ataimba vizuri. yaani peter hakuwa na jipya katika uzuri wa performance yake, kitu kilichowafanya washabiki wajisahau kumpigia kura.
hapo ndipo alipotokea cassian. kutoka nyuma alikuwa akipanda thamani kila uchao kwa kubadilika kidogo na kung'ang'ania baritone voice kidogo. his was a fusion of master J's comments and his baritone mastery. but if cassian followed Maste J 100%, he would have lost.just imagine we are not used to 'big voices' in bongo. here comes someone from mwanza who can manipulate it in even other conventional styles. we acha tu. what is more, it's when people realise that as the curtains of the show were close to being pulled down. hongera cassian!
wengine walikuwa wauza sura tu. but Beatrice and the other last lady are great as well.
pascal alistahili kushinda, perfomance ilikua poa sana na siku zote mashabiki ndio majaji, Masta j na Salama walijaribu sana kumbeba Kelvin tena wazi kiasi cha kuwakera mashabiki, walikua wanamponda sana pascal badala ya kumshauri Mata j ana ubaguzi sana tunajua hajaridhika na na mshindi ila afanyeje mashabiki tumeshamua.Klvin anaiga sana kiasi kwamba anaboa inaonyesha wazi klvin anamatatizo yakimaumbile kama sio guy sijui mtanisamehe kwa hilo. Kaja stejini anaimba nyimbo za ajabu ambazo hazina mvuto na majaji bado wanambeba hata hiyo nafasi ya tatu hakustahili ilibidi awe wa tano. HONGERA PASCAL CASSIAN MUNGU AKUZIDISHIE UMETOKA MBALI SANA DAIMA UTAFANIKIWA , AMEEENI
Post a Comment