Friday, December 11, 2009

KUMRADHI WASOMAJI WETU:


Tangu jana jioni, mtandao wenu wa www.globalpublisherstz.com haufunguki kutokana na kukumbwa na tatizo la kiufundi lililotokana na kile kilichoelezwa na host wetu 'overloading' na tatizo hilo wataalamu wetu wanalishughulikia. Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowowte uliojitokeza na tunawaahidi kurekebisha hali hiyo mapema iwezekanavyo.

Asanteni kwa uvumilivu wenu.

WEB MASTER _GPL

2 comments:

Anonymous said...

asante kwa kutujulisha yani mpo juu kukoseksna siku moja tunaona kama mwaka,tunasubiri kwa hamu.

Anonymous said...

pole kaka tuko pamoja - cheryl