Saturday, December 12, 2009

MASANJA KAA CHONJO!

Anaitwa Simon Mbwana a.k.a Simon Mzungu, anafanya One Man show ambayo ni Comedy kama wanavyofanya mastaa wa America kama Cuba Gooding au Bill Cossby. Maana yake jamaa anachekesha watu kwa kuhadithia maisha yetu ya kawaida pia ana talent ya kuigiza sauti za viongozi mbalimbali. Ameshiriki pia katika filamu ya 'Tears on valentine' ambayo iko mbioni kutoka. Mpango wake ni kumfunika Masanja na Ze Comedy yote kwa ujumla, anaamini anweza zaidi yao. Haya mwanwawane Masanja, kaa chonjo anakuja huyo dogo!

2 comments:

Anonymous said...

bora aje awape challenge hawa vijana maana sasa wamebweteka kabisa!

Anonymous said...

Fasta dogo, hawa jamaa siku hizi naona wameishiwa, No mvuto at all, Tunataka vitu vipya vyenye akili.