Wednesday, March 17, 2010

A message to all members of .

TAFADHALI SOMA HII TAARIFA AMBAYO MDAU WA NETWORK HII AMETULETEA, KILA MMOJA WETU AWE MWANGALIFU NA WATU KAMA HAWA ,TAFADHALI USISITE KUTULETEA TAARIFA YA MEMBER YOYOTE MWENYE NIA KAMA HUYU WAKUJIITA SARAH, HAWA NI MATAPELI NIMESHA WABANNED WENGI TU. NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUKUSHURU NDUGU ANDY KWA TAARIFA HII NAAMINI TAYARI AMESHA CONTACT WENGI KATIKA MTINDO HUU. KWA SASA TAYARI TUMESHA MUONDOA.

Issue:Fraud

Additional Information:Am concerned about the behaviour of one of your member. Kuna member ambaye ni female na profile yake inaonyesha kuwa anaishi New York. Nimegundua within two days ya kuwasiliana naye..this particular person ana-fit profile ya scam artist! Nasema hivyo kwa sababu...in two days period ameniambia kwamba yeye ni mkimbizi kutoka DRC kwa sasa anaishi kwenye camp ya wakimbizi nchini Senegal. She goes on to say that ..baba yake alikuwa advisor wa former president wa DRC and that wazazi wake walipigwa risasi na askari during the war kule DRC...na kwamba she was the only child and the only one to survive. She further claim that, her Father left her with a lump sum of money in the WILL...and that pesa zake zipo kwenye account in a European bank, lakini hawezi, according to her story, kuzitoa. And this brings me to suspicion...Anataka nimpe my bank account hapa USA so that she can transfer dola million mbili mia nne, BUT once the funds are deposited into my bank..she will let me keep half and and wants the remaining half to be send to her in the senegalese refugees camp. The letter goes on..and on.. with numerous bogus explainations. My intention here is to alert the GFAMILY to be wary of this particular member. P'se, alert your members not to fall in the trap. Perhaps some members might have been subjected to this kind of scam and are shying away! P'se, try to inquire from members who have befriended a member named SARAH OF NEW YORK AND SEE WHAT THEY SAY ABOUT THEIR FRIENDSHIPS. Hii site is a good forum kwa Watanzania , tusiwaruhusu watu watuharibie kwani sisi wabongo ni watu wenye mapendo, haki na urafiki.
Asante,
Andy.

Visit . at: http://tnzncommunity.ning.com/?xg_source=msg_mes_network

1 comment:

mbelekwambele said...

i see si utani ndugu yangu ni bora umeshtuka,
hata mi alishanitokea nadhani the same person kwangu aliji address km Bintu Davids with the same story as explained..

Anasema yeye ni Ivorian na her family was varnished during machafuko na yeye ndiye aliesalia na sasa anaishi Senegal kwenye kambi za wakimbizi..

She sent me her picture bt am not so sure kama ni yake na hata km ni female..

She so demanded me to pay 1,300 US Dollars to perpetuate the issuance of the the money of which she claims she inherited from her late father, in return i could secure 20% of 9.7 Million dollars..

Hkuishia hapo aliongeza kabla ya machafuko nchini kwao alikua mwaka wa kwanza university so akipata huo mzigo ata resume masomo yake huku tukipanga tuishi pamoja..

From the beggining nilimstukia but nikataka nifaham anataka nini haswa nikafanya kila alichokua akiagiza huku akitoa na namba za simu feki..

Nakushukuru umefumbua wengi macho sab hawa watu wapo wengi na gia wanazoingia nazo ni nyingi na ni tofauti tofauti.

TUWE MACHO WANDUGU!!

NJOMBE, IRINGA