..akiwa na wadau wengine wa Bongo wanaoishi nchini humo, Baraka Msilwa na mwana dada Sporah Njau, anayeendesha kipindi cha Sporah Show kinachorushwa na Ben TV ya Uingereza. ...akiwa katika picha ya pamoja na wadau wanaoishi Reading, Uingereza Ankal Michuzi (wa pili kulia) akiwa ndani ya suti na washiriki wengine wanaohudhuria Mkutano wa Pili wa Watanzania waishio Ughaibuni (Diaspora 2 Conference) unaofanyika London nchini Uingereza.
No comments:
Post a Comment