Friday, March 26, 2010

DSTV launch new HD THREE CHANNELS!

Multi Choice Tanzania, leo ndani ya Paradise City Hotel imezindua channel tatu za Super Sport, Discovery na Showcase& iConcerts ambazo zitakuwa zikonesha picha zake kwenye ubora wa hali ya juu (HIGH DIFINITION). PICHANI NI Meneja Huduma, Baraka Shelukindo, akielezea huduma ya HD kwa wanahabari.Afisa Uhusiano wa Multi Choice , Barbra Kambogi, akiongea na wanahabari kuhusu huduma ya HD. Kulia ni Furaha na kushoto ni Baraka.
wanahabari wakiangalia ubora wa picha za HD kupitia projector
Mabosi wa Multi Choice Tanzania, Furaha Samalu (kushot) na Baraka Shelukindo wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya bango la DSTV linaloelezea ubora wa HD.

No comments: