Monday, March 22, 2010

WADAU WA MUZIKI NDANI YA ACADEMY KUN DUCHI



DJ Ziro, kutoka E-masters akiwa kazini akishusha mipini kuwaburudisha wadau wa muzikii waliojichimbia Kunduchi Beach hotel kwenye 'ACADEMY' ili kuandaa orodha ya wasanii wa tunzo za KTMA 2010
Hatman, mtayarishaji video za muziki akisakata rhumba na Lady Hanifa wa Radio One/ Itv
Mzee wa 'Haturudi Nyuma' Kidumu, (kushoto) akiwa na Captain G Habash wakati msanii huyo alipoibukia kwenye academy hiyo kama suprise kwa wadau wa muziki waliokuwepo kambini hapo
..aha...ni DJ Majay Majizo kutoka E-masters na Fina Mango organiser wa ishu nzima kupitia kampuni yake ya One Plus Communication
Hot young presenters: From L: B12 kutoka Clouds FM, Penniel kutoka XXXL Channel Ten TV na Salma Msangi kutoka Channel Ten Tv.
Producer Baucha, kutoka Baucha Records (L) akiwa na DJ White kutoka Radio One

Radio n TV presenters: Millad Ayo (kushoto), Bob Dulla kutoka EA TV (kulia) wakiwa na DJ Choka

No comments: