Saturday, March 20, 2010

WADAUN WA MUZIKI WAJICHIMBIA ACADEMY KUNDUCHI

wadau wakubwa wa masuala ya muziki, wakiwemo watangazaji wa muziki, tv na redio, waandishi wa habari za burudani na muziki, dj,s na wengine wamekutana katika academy iliyoandialiwa na waandaji eneo la kunduchi beach hotel. huu ni mchakato wa kwanza wa kuanza kuwatafuta wasanii bora wa kuwania tunzo za muziki tanzania 2010..

Mtangazaji wa Clouds fm, B12(kushoto) akibadilishana namba na Luca wa Bongo5.com
presenters wa tv na redio, Millad Ayo (shoto) na Josh kutoka ITV/Radio One na EATV
Musa 'kipanya' (kulia) kutoka TBC1 akiwa na mtangazaji mwenzie
ankal michuzi..kutoka glob ya jamii na Daily/sunday News

kutoka kulia: maimatha kutoka media 5, Gea wa clouds, Lisa wa TBC1 na mwisho kabisa musa tbc1

No comments: