Tuesday, September 28, 2010

SIKU MWISHO ALIPOSEMA 'WILL U MARY ME?'

Mwisho na Mary ndani ya penzi motomoto...lkn litadumu?
...kila mmoja haishi hamu kumuangalia mwenzie
...mates waliwapa kampani, japo kwa tahadhari kubwa
..wawakilishi wa familia ya Mwisho (mwenye rasta) na shangazi wa Mery walioingia mjengoni kwenye engagement party hiyo..hebu angalia jamaa walivyoshangaa jinsi Mwisho anavyokisi na Meryl...wakati Mwisho anaonesha 'kaoza' kabisa kwa kufumba macho, Meryl anaonekana kumdhibiti Mwisho kwa kumuangalia macho yake...unaweza kuhisi kinachoendelea kichwani mwa Uti hapo?

2 comments:

emu-three said...

Wanaigiza au ndiyo kweli...isije ikafika mwishoo wa siku wakaigiza migogoro na baadaye `hatujuani'
Ni heri iwe njema na wakitoka hapo tunazungumza mengine bora zaidi

Anonymous said...

Nahisi mwisho alienda kutangaza madini ya tanzanite na si vinginevyo..ila mungu awabariki isiwe tu matangazo ya tanzanite iwe daima milele...