Tuesday, November 2, 2010

HEKA HEKA ZA KUZUIA UCHAKACHUAJI WA KURA!

...vijana wamepinda! sijui wanamaaisha nn hapa!
...hata kama ni kukaa kwenye miti, lakini mpaka kieleweke...vijana hao wakisubiri matokeo ya Mnyika
...kizaaazaa kinaendelea na leo kule Vingunguti
...mtu kati
mambo ya uchakachuaji hayo..

No comments: