Monday, November 1, 2010

UNIQUE MODEL YATAFUTA WAREMBO


Kampuni ya Unique Entertainment ya jijini Dar es Salaam, leo imezindua shindano la aina yake la lusaka warembo. Uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Giraffe na kuhudhuriwa na waandashi pamoja na wadau wa tasnia ya urembo. Akizungumzia lengo la shindano hilo, Mkurugenzi wa Unique Entrtainment, Methuselah Magese alisema yana lengo la kuleta mapinduzi ya urembo nchini. Pichani kulia ni Magese kiongea na waandishi wa habari

No comments: