Monday, November 1, 2010

NCHI IMEZIZIMA KWA MAGEUZI YA KISIASA!

Jimbo la Korogwe Mjini
Bw. Yusuph Nassir wa CCM kura 12,090, Bw. Calistus Shekihaba
(CHADEMA) 1,722 , Bw. Kimweli Magogo (CUF) 400 na Bw.
Tony Tony wa SAU 225.
Jimbo la Tarime
Tarime Nyambari Nangwine CCM 28,604, Bw. Mwita Waitara wa
CHADEAMA 27,334, Bw. Peter Wangwe NCCR-Mageuzi 7,882,
Bw. Charles Mwera wa CUF 7,368, Bw. Jacob Mwere wa UDP 185
na Bw. Nyaronyo Kichere 145.
Jimbo la Mwanga
Profesa Jumanne Maghembe CCM 20,730, Shaffi Msuya CHADEMA
4,719, Bi. Hadija Kajia CUF 556. Kwa upande wa udiwani CCM
imeshinda katika kata zote 20.
Jimbo la Iringa Mjini
Mchungaji Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) 17,747, Bi.
Minica Mbega (CCM), 16,619,
Jimbo la Meatu
Bw. Meshack Opulukwa (CHADEMA) 13,890 na Bw. Salum
Khamis wa CCM kura 12,390.

Kwa upande wa matokeo ya viti vya udiwani katika manispaa ya
Shinyanga, CHADEMA ilikuwa imepata viti tisa.
Jimbo la Nyang'wale
Bw. Husien Amary (CCM) kura 19,987,
Bw. Nguru Tanganyika (CHADEMA) kura 2,271,
Bw. Andrew Masanja (CUF) kura 1032.

Jimbo la Dodoma mjini
Bw. David Malole (CCM) kura 52, 243
Bw. Enock Mhembano (CHADEMA) 15,806
Bw. Mohamed Kabutari (NCCR Mageuzi), kura 714
Bw. Bi Runa Kyara (UPDP) kura 589
Bw. Kimwele Bakari (CUF) 1903

Jimbo la Arusha mjini
Bw. Godbless Lema (CHADEMA) kura 56,569.
Dkt. Batlida Burian (CCM) kura 36,460
Jimbo la Njombe Magharibi
Bw Grayson Lwenge CCM kura 27,000
Bw Thomas Nyimbo (CHADEMA) kura 13,000
CCM imechukua kata zote 19.

Jimbo la Njombe Kaskazini
Bw. Deo Sanga (CCM) kura 29,000
Bw. Alatanga Nyagawa (CHADEMA) kura 8500
CCM imechukua kata zote 17.
Jimbo la Bukoba mjini
Balozi Hamis Kagasheki (CCM) kura 18495,
Bw. Wilfred Lwakatare CHADEMA kura 13800
Bw. Christian Kasimbazi (CUF) kura 294

Jimbo la Bukoba vijijini
Bw. Jasson Rweikiza (CCM) kura 57852
Bw. Twaha Taslima (CUF) kura 4565,
Bw. Alistides Ndibalema (CHADEMA) kura 5859,

MPAKA SASA VIGOGO WENGINE KAMA MASHA, DIALO, MRAMBA, BATILDA NA WENGINE WENGIE WAMEBWAGWA!! MAGEUZI MAKUBWA YAJA!

No comments: