Monday, November 1, 2010

BREAKING NEWS! DK SHEIN RAIS MPYA ZANZIBAR!

dk shein
maalim seif

Tume ya Uchaguzi ya Taifa Zanzibar imemtangaza Dk Ali Mohamed Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar baada ya kuibuka kidedea kwa kupata asilimia 50.1 ya kura zilizopigwa dhidi ya wagombea wenzake, akiwemo Maalim Seif ambaye ameyakubali rasmi matokeo kwa kupata asilimia 49.1 ! hata hivyo Makamu wa kwanza wa Rais atakuwa maalim seif


1 comment:

Disminder orig baby said...

KAKA MAALIM SEIF NI SHUJAA!! ANASTAHILI PONGEZI KUBWA SANA.
TUNAOMBA MWENYEZI MUNGU AWAONGOZE VIONGOZI WETU KATIKA KIPINDI HIKI CHA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA.

ZANZIBAR TUKO HURU NA AMANI HATA HAKUNA MWENYE WASIWASI TENA.
ALHAMDULILLAH