
B12 (kulia) akiwa na mtangazaji mwenzie Antonio na mwanadada Mwasiti katika uzinduzi wa Kili Awards jana pale Double Tree hotel.

..Diamond akifanya makamuzi stejini

Diamond na wasanii wenzake wakikupa HI!

Khadija Yusuf (kushoto) akiwa na wasanii wenzake wa taarabu...waliwakilisha wenzao

Mtangazaji machachari Millard Ayo (kulia), DJ Venjure (kati) na Sauda Mwilima wa Star TV

From Left. Msanii Amini, Mike Tee na Mwana FA

Mtangazaji Penny (shoto) akiwa na Tayana ndani ya Kili Awards

baadhi ya wasanii waliopata tunzo mwaka jana wakiimba wimbo wa pamoja

AY, Joh Makini (shoto) wakiwakilisha Hip Hop
No comments:
Post a Comment