Saturday, January 22, 2011

BENDI YA MRISHO MPOTO YAANZA KUPETA

Mrisho Mpoto Band, imeanza kuonesha makeke yake mbele ya wapenzi wa burudani nchini wanaohudhuria hafla mbali mbali zinazoburudishwa na kundi hilo. Hivi sasa bendi hiyo imeweka maskani katika jengo la Millennium Towers, Mzalendo Pub kijito Nyama ambapo kila Alhamis inapiga Live. Bendi hiyo ina safu ya waimbaji vijana mahiri, kama vile Nuruel, Ismail na mwanadada Aneth aliyekuwa mshiriki wa Tusker Project Fame mwaka jana.
hafla kama hizi Mjomba Band ndiyo huwa mahali pake

No comments: