Thursday, January 13, 2011

T.H.T SHOW MEMORIES!

Msanii maarufu kwa jina la Mataluma (pichani juu),
ndiye alikuwa 'the man of the show' wakati akitambulisha albamu yake akiwa pamoja na wasanii wenzake watano wa THT. Katika shoo hiyo ya Mlimani City, Mataluma alikuwa msanii pekee aliyewainua mashabiki vitini pale alipoanza kuimba nyimbo zake za Mama Mubaya na mchiriku wa Kariakoo.
...mataluma akiduarisha mashabiki
.....memories za vijana wa THT siku ya shoo
..ubunifu, umahiri
hisia za kimuziki za Maunda Zorro



Wimbo: Mama Mubaya - Mwimbaji: Mataluma - Production: Sound Crafters -Video by: E-Media

No comments: